Posts

New design..

Image
Floor plan

KABLA YA KUJENGA ZINGATIA HAYA

Image
Kwa kawaida ukifikiria kujenga huwa huwazi juu ya hali ya hewa na wala hufikirii kuhusu nyenzo / materials za ujenzi kama zitakuwa kikwazo katika ujenzi wako.Katika tovuti hii tumekuwa tukikuletea makala mbalimbali za ujenzi ili kukufumbua macho zaidi na kurahisisha shughuli ya ujenzi kwako.Ikiwa unafikiria kuanza kujenga ni vyema ukazingatia mambo haya saba ( 7 ) muhimu ili kufanikisha zoezi la ujenzi kwenda sawia.           1.FEDHAKabla ya kuanza ujenzi hakikisha una chanzo kizuri cha mapato ambacho kitakurahisishia shughuli ya ujenzi hivyo kukamilisha nyumba yako kwa wakati.Pia ni vyema kuwa makini na matumizi ya fedha katika kila hatua ya ujenzi kwani waweza tumia kiasikikubwa cha fedha bila sababu ya msingi hivyo kujikuta unaishia njiani .2.MICHOROArchitectural DrawingsVIEW SLIDE SHOWDOWNLOAD ALLUkiwa tayari una kiwanja chako basi yakupasa kutafuta msanifu majengo (Architect) ambaye atakamilisha suala lote la ujenzi na kukupa ushauri w...

Maisha ni Nyuma

Image
Jipatie ramani yako sasa  jenga kisasa zaidi .nenda na wakatiiii... Kwa mawasiliano zaidi Piga # 0653359021 Or whataap

Kwa watumiaji wa facebook

Image
https://www.facebook.com/pages/Maisha-ni-Nyumba/847332478688402   ...kwa watumiajiwa facebook unaweza ingia hapo kwa akili ya kujoin kwa hiii page na kisha invent na wezako Kizuri share na mwezako welcome ma frnd

NEW PROJECT

Image
Watu wengi bado hawaja elewa ni maana ya kujenga kwa kufuata ramani na kuishia kutapeliwa na   na mafundi njaa ...ila mkombomzi wako huyu hapa sasa kuwa karibu na  hii blog yetu utaji patia kujua mengi bila malipo   TUWASILIANE KUPITIA N0..0653359021 AU barackpeter53@gmail.com

Kanisa jipya.

Image
Tazama muonekano wakanisa la kkkt   bugurunii .... Hiii ni modo ya hilo kanisa likiisha litakavyo onekana.... Kwa mawasiliano zani  piga 0653359021..